NA MINYORORO YA THAMANI
TADB inaleta mapinduzi ya kilimo kwa mipango endelevu inayokidhi mahitaji yako kupitia huduma tofauti za kifedha, kama vile: Mikopo ya moja kwa moja, Mikopo yenye ushirika na Udhamini.
KILIMO
KINABENKIKA
Ufugaji
BENKI YA MAENDELEO YA KILIMO TANZANIA
Taasisi ya fedha ya maendeleo inayomilikiwa na serikali (DFI) iliyoanzishwa kama benki ya kitaifa ya maendeleo ya kilimo nchini Tanzania.
Uzalishaji
Maghala
Uchakataji
Usafirishaji
Masoko
MINYORORO YA THAMANI
Kuhusu TADB BENKI YA WAKULIMA
Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) ilianzishwa chini ya Sheria ya Kampuni, 2002 CAP 212 mnamo Septemba 2012.
Kuongoza mikakati ya kujenga uwezo na mipango ya kuimarisha mnyororo wa thamani ya kilimo na kuunga mkono Serikali ya Tanzania miradi ya kuunda na kutekeleza sera na mikopo ya kilimo na vijijini.
14
Minyororo ya Thamani Iliyokopeshwa
284
Mikopo iliyotolewa ( TZS Bilioni)
71
Miradi ya Kimkakati Iliyofadhiliwa
1049370
Wakulima wadogo walionufaika
Mipango Thabiti
Kutoa huduma za kifedha kwa kupitia kongani na minyororo ya thamani kwa nia ya kuleta mapinduzi ya kimkakati katika kilimo na kwa wakulima wadogo.
OUR PRODUCTS
As our valued customer, you are offered innovative products to redefine banking convenience. With our expertise, you can rest assured that your project is protected and nurtured at the same time.
PEOPLE SAYS ABOUT TADB
Read what some of our customers and stakeholders are saying about us..
BLOG POSTS
Read our latest engagements on the news...
GET IN TOUCH
Our doors, ears and break room are always open, drop us a line below