TADB Managing Director in support of diplomatic economy
Managing Director of Tanzania Agricultural Development Bank supports the efforts of the President of the United Republic of Tanzania H.E. Dr. Samia Suluhu Hassan in opening the doors of the diplomatic economy Among other things, the diplomatic economy in agriculture highlights; Managing Director of Tanzania Agricultural Development Bank – TADB, Frank Nyabundege, Ambassador of Tanzania...
TADB na programu ya kilimo biashara kwa vijana ‘Building a Better Tomorrow’ (BBT)
Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) tunaamini programu hii italeta mapinduzi ya kilimo nchini kutoka kilimo cha kujikimu kwenda kilimo biashara kwa: ✅ Kuongeza ujuzi wa vijana katika kilimo biashara ? ✅ Kukuza ajira kwa vijana hadi milioni 1️⃣ ✅ Kuchochea ukuaji wa sekta ya kilimo kwa 10% Kazi Iendelee!
TADB yatoa mafunzo kwa wakulima wadogo wa michikichi Kigoma
Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) imetoa mafunzo kwa wakulima wadogo zaidi ya 300 wa zao la mchikichi mkoani Kigoma. Mafunzo hayo yalilenga kuimarisha wakulima katika: ✅Kilimo biashara ✅Elimu ya fedha ✅Usimamizi wa mikopo ✅Kanuni bora za uzalishaji TADB imetoa zaidi ya Sh. bilioni 1.9 kuwezesha mnyororo wa thamani wa zao hilo.
H.E President Samia visits TADB Booth
Tanzania registers impressive successes in dairy-subsector as the number of hybrid dairy cattle increase by four folds to 1.29 Mil in 2018/19 from 783,000 in 2017/18...