Mkurugenzi Mtendaji wa TADB anahudhuria mkutano wa mipango ya maendeleo ya sekta binafsi na Uwekezaji

Mkurugenzi Mtendaji wa TADB, Frank Nyabundege (kushoto) akifuatilia mkutano wa mpango wa maendeleo na uwekezaji wa sekta binafsi nchini Tanzania.

Kikao kati ya Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe.Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), Waziri wa Nchi, Ofisi ya Bunge, Fedha na Mipango Zanzibar, Mhe. Saada Mkuya Salum na Makamu wa Rais wa Taasisi ya Benki ya Dunia inayojihusisha na utoaji wa mikopo na misaada kwa sekta binafsi (International Finance Corporation (IFC), Bw. Sergio Pimenta pia alihudhuriwa na Balozi wa Tanzania nchini Marekani. Mhe.Dkt.Elsie Kanza.

Mkutano huo uliandaliwa na Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) na kufanyika Washington DC, Marekani.