Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) tunaamini programu hii italeta mapinduzi ya kilimo nchini kutoka kilimo cha kujikimu kwenda kilimo biashara kwa:
✅ Kuongeza ujuzi wa vijana katika kilimo biashara ? ✅ Kukuza ajira kwa vijana hadi milioni 1️⃣
✅ Kuchochea ukuaji wa sekta ya kilimo kwa 10%
Kazi Iendelee!