ARCHIVE ya Ukurasa

TADB katika Maonyesho ya Kilimo 2024 “Nane Nane” pale Dole Kizimbani – Unguja, Zanzibar.

Wakulima Bant TADB inaungana na wakulima wote wa Zanzibar katika kuadhimisha msimu wa mkulima na kusherehekea pamoja katika viwanja vya Dole Kizimbani kuanzia tarehe 1-14 Agosti 2024. Mhe. Hemed Suleiman Abdulla akikaribishwa katika banda la TADB na Bw.Michael Madundo, Kaimu Meneja wa Kanda ya TADB Zanzibar aliyempatia majumuisho ya maendeleo ya benki hiyo ikiwemo...

TADB kudhamini Maonyesho ya Mifugo ya TCCS 2024 na Mnada huko Ubenazomozi

BENKI ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) imedhamini maonesho na mnada wa kimataifa wa mifugo ulioandaliwa na Jumuiya ya Biashara ya Ng’ombe Tanzania (TCCS), unaotarajiwa kufanyika kuanzia Juni 14 hadi 16, 2024, kwenye viwanja vya Highland Estate, Ubenazomozi wilayani Chalinze. Kaimu Mkurugenzi wa Mipango, Utafiti, na Masuala ya Ushirika – TADB, Bw. Mkani Waziri, alisema...

TADB imeingiza jumla ya shilingi bilioni 26 kwenye mnyororo wa thamani wa maziwa kupitia mradi wa TI3P

Hayo yamesemwa na Meneja Ufuatiliaji na Tathmini wa Mradi wa Ushirikiano wa Wasindikaji wa Maziwa Tanzania (TI3P), Damas Damian alipokuwa akitoa tathmini ya utekelezaji wa mradi huo kwa miaka ya 2022 hadi 2024 kwenye mkutano wa wadau wa sekta ya Maziwa uliofanyika jijini Mwanza. tarehe 30 Mei, 2024. Bw. Damas Damian alisema kuwa...

TADB Yashiriki Wiki ya Maziwa Kitaifa Jijini Mwanza

Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) kupitia Mradi wa Ubia wa Wasindikaji Shirikishi na Wazalishaji Tanzania (TI3P) katika Mradi wa Maziwa, iliungana na Bodi ya Maziwa Tanzania na wadau wa sekta ya maziwa kuadhimisha Wiki ya Maziwa Kitaifa jijini Mwanza. Maadhimisho hayo yenye kaulimbiu "Kunywa Maziwa Salama kwa Afya Bora na Uchumi Endelevu," yalizinduliwa na...