TADB inapata Euro milioni 80 kutoka AFD ili kupanua ufadhili wa kilimo kwa wakulima
Katika kuimarisha shughuli zake za kutoa mikopo ya muda mfupi na mrefu katika sekta ya kilimo nchini TADB ilipata Euro milioni 80 (Tsh. 210 bilioni), kutoka Shirika la Maendeleo la Ufaransa (afd_france). Euro Milioni 80 zitatumika katika kutatua changamoto zinazowakabili watendaji wa sekta ya kilimo, mifugo na uvuvi katika kupata mitaji. The...