ARCHIVE ya Ukurasa

TADB inahudhuria uwasilishaji wa bajeti ya Wizara ya Fedha na Mipango

Bunge liliidhinisha jumla ya TZS 15.9 Trilioni kwa ajili ya Wizara ya Fedha na Mipango kwa mwaka 2023/2024 kwa matumizi ya kawaida na maendeleo kwa mafungu yake tisa ya bajeti ambapo kwa TZS 15.38 bilioni ni kwa matumizi ya kawaida na TZS 564.22 bilioni ni kwa ajili ya matumizi ya maendeleo. Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB),...

Mkurugenzi Mtendaji wa TADB katika kusaidia uchumi wa kidiplomasia

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania anaunga mkono juhudi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kufungua milango ya uchumi wa kidiplomasia Pamoja na mambo mengine, uchumi wa kidiplomasia katika kilimo unabainisha; Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania – TADB, Frank Nyabundege, Balozi wa Tanzania...

Waziri Nchemba: TADB yaongeza tija katika kilimo kwa mwaka 2022

TADB huongeza tija katika kilimo, kuwezesha utekelezaji wa miradi na kuchagiza ukusanyaji na uuzaji wa mazao ya kilimo kama alivyoeleza Mhe. Dkt Mwigulu Nchemba, Waziri wa Wizara ya Fedha na Mipango katika uwasilishaji wa bajeti ya wizara hiyo tarehe 8/6/2023, Bungeni, Dodoma. Katika mada hiyo Dk Mwigulu aliainisha baadhi ya mambo yaliyowezeshwa...