TADB inahudhuria kikao cha bajeti cha Wizara ya Fedha na Mipango
Bunge liliidhinisha jumla ya TZS 15.9 Trilioni kwa ajili ya Wizara ya Fedha na Mipango kwa mwaka 2023/2024 kwa matumizi ya kawaida na maendeleo kwa mafungu yake tisa ya bajeti ambapo kwa TZS 15.38 bilioni ni kwa ajili ya matumizi ya kawaida na TZS 564.22 bilioni ni kwa ajili ya Kusimamia matumizi ya maendeleo. Mkurugenzi wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB),...