ARCHIVE ya Ukurasa

TADB yahudhuria Kongamano la 7 la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi linalofanyika mjini Dodoma

Kila mwaka Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Tanzania huwa na kongamano la kitaifa linalokutanisha taasisi za umma na sekta binafsi kujadili namna ya kuimarisha uwezeshaji wa Watanzania kiuchumi. Katika Kongamano la saba la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi lililofanyika mjini Dodoma, Mjumbe wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania aliongozwa na Mkurugenzi wa Fedha Dk.Kaanaeli Nnko (PHD) The...