TADB imeingiza jumla ya shilingi bilioni 26 kwenye mnyororo wa thamani wa maziwa kupitia mradi wa TI3P
Hayo yamesemwa na Meneja Ufuatiliaji na Tathmini wa Mradi wa Ushirikiano wa Wasindikaji wa Maziwa Tanzania (TI3P), Damas Damian alipokuwa akitoa tathmini ya utekelezaji wa mradi huo kwa miaka ya 2022 hadi 2024 kwenye mkutano wa wadau wa sekta ya Maziwa uliofanyika jijini Mwanza. tarehe 30 Mei, 2024. Bw. Damas Damian alisema kuwa...
TADB Yashiriki Wiki ya Maziwa Kitaifa Jijini Mwanza
Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) kupitia Mradi wa Ubia wa Wasindikaji Shirikishi na Wazalishaji Tanzania (TI3P) katika Mradi wa Maziwa, iliungana na Bodi ya Maziwa Tanzania na wadau wa sekta ya maziwa kuadhimisha Wiki ya Maziwa Kitaifa jijini Mwanza. Maadhimisho hayo yenye kaulimbiu "Kunywa Maziwa Salama kwa Afya Bora na Uchumi Endelevu," yalizinduliwa na...
TADB yatoa gawio la shilingi milioni 850 kwa serikali
Dar es Salaam. Ijumaa Mei 24, 2024. Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) imetoa gawio la shilingi milioni 850 kwa serikali, ikiwa ni ongezeko la asilimia 41.7 kutoka shilingi milioni 600 mwaka ulioishia Desemba 2022, katika Mkutano Mkuu wa Mwaka. kwa mwaka wa fedha uliomalizika tarehe 31 Desemba 2023. Akizungumza katika...