TADB inashiriki katika Wiki ya Huduma za Kifedha za Kitaifa 2024
Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) imeungana na Wizara ya Fedha pamoja na benki na taasisi nyingine za fedha katika kuadhimisha Wiki ya Huduma za Kifedha kwa mwaka 2024. Katika viwanja vya Ruanda-Nzonvwe jijini Mbeya kuanzia tarehe 21 hadi 26 Oktoba 2024. Kaulimbiu ya maadhimisho haya ni “Elimu ya Fedha: Msingi wa Maendeleo ya Kiuchumi” ambayo inalenga...