Waziri Ulega aipongeza TADB
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega aipongeza TADB kwa kazi inazofanya katika sekta ya mifugo Ameitaka TADB kuendelea kushirikiana na Wizara katika kutengeneza mpango mkakati wa mradi wa vijana katika ufugaji TADB kupitia mradi wa Tanzania Inclusive Processor-Producer Partnership (TI3P): Hadi Desemba 2022 TADB ina...
TADB inahudhuria uwasilishaji wa bajeti ya Wizara ya Fedha na Mipango
Bunge liliidhinisha jumla ya TZS 15.9 Trilioni kwa ajili ya Wizara ya Fedha na Mipango kwa mwaka 2023/2024 kwa matumizi ya kawaida na maendeleo kwa mafungu yake tisa ya bajeti ambapo kwa TZS 15.38 bilioni ni kwa matumizi ya kawaida na TZS 564.22 bilioni ni kwa ajili ya matumizi ya maendeleo. Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB),...
Mkurugenzi Mtendaji wa TADB katika kusaidia uchumi wa kidiplomasia
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania anaunga mkono juhudi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kufungua milango ya uchumi wa kidiplomasia Pamoja na mambo mengine, uchumi wa kidiplomasia katika kilimo unabainisha; Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania – TADB, Frank Nyabundege, Balozi wa Tanzania...
TADB na programu ya kilimo biashara kwa vijana ‘Building a Better Tomorrow’ (BBT)
Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) tunaamini programu hii italeta mapinduzi ya kilimo nchini kutoka kilimo cha kujikimu kwenda kilimo biashara kwa: ✅ Kuongeza ujuzi wa vijana katika kilimo biashara 📈 ✅ Kukuza ajira kwa vijana hadi milioni 1️⃣ ✅ Kuchochea ukuaji wa sekta ya kilimo kwa 10% Kazi Iendelee!
TADB yatoa mafunzo kwa wakulima wadogo wa michikichi Kigoma
Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) imetoa mafunzo kwa wakulima wadogo zaidi ya 300 wa zao la mchikichi mkoani Kigoma. Mafunzo hayo yalilenga kuimarisha wakulima katika: ✅Kilimo biashara ✅Elimu ya fedha ✅Usimamizi wa mikopo ✅Kanuni bora za TADB imetoa zaidi ya Sh. bilioni 1.9 kuwezesha mnyororo wa thamani wa zao hilo.
Rais Samia atembelea banda la TADB
Tanzania yapata mafanikio makubwa katika sekta ndogo ya maziwa kwani idadi ya ng'ombe chotara iliongezeka kwa mazizi manne hadi Mil 1.29 mwaka 2018/19 kutoka 783,000 mwaka 2017/18...