TADB yatoa mafunzo kwa wakulima wadogo wa michikichi Kigoma
Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) imetoa mafunzo kwa wakulima wadogo zaidi ya 300 wa zao la mchikichi mkoani Kigoma. Mafunzo hayo yalilenga kuimarisha wakulima katika: ✅Kilimo biashara ✅Elimu ya fedha ✅Usimamizi wa mikopo ✅Kanuni bora za TADB imetoa zaidi ya Sh. bilioni 1.9 kuwezesha mnyororo wa thamani wa zao hilo.
Rais Samia atembelea banda la TADB
Tanzania yapata mafanikio makubwa katika sekta ndogo ya maziwa kwani idadi ya ng'ombe chotara iliongezeka kwa mazizi manne hadi Mil 1.29 mwaka 2018/19 kutoka 783,000 mwaka 2017/18...